Namna ya kufanya manunuzi Ebay, Amazon na Bestbuy

Namna ya kufanya manunuzi Ebay, Amazon na Bestbuy

Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa…

Nokia wazindua Tablet ya android

Nokia wazindua Tablet ya android

Inaoneka kmapuni ya Nokia haitakufa hivi karibuni, siku si nyingi tangu Microsoft waanze kubadili jina kwa simu zote zinatozotoka baada ya kununua sehemu ya Nokia….

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Ndoto za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma masomo ya sayansi ya teknokojia ya habari na mawasiliano nchini ya  kuwa magwiji wa fani hiyo zinaelekea kutimia….

PRESS RELEASE: UZINDUZI WA SIMU MPYA YA SAMSUNG GALAXY NOTE 4

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMPUNI YA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI YA SAMSUNG YAZINDUA SAMSUNG GALAXY NOTE 4 TANZANIA Dar-es-Salaam, Novemba 14, 2014: Baada ya kusubiriwa…

Samsung Galaxy Note 4 Launch After Party in Dar!

Samsung wanajiandaa kuachia kitu kingine tena kwenye msafara wa Galaxy Note. Meet Galaxy Note 4 Tarehe 14 mwezi huu wa 11 Samsung watazindua Galaxy Note 4!…

Whatsapp sasa kumuonyesha mtu kuwa umesoma message yake

Whatsapp sasa kumuonyesha mtu kuwa umesoma message yake

Whatsapp inaonekana wanapenda sana drama zitokanazo na huduma yao. Si unakumbuka kipindi fulani kilio cha wengi ilikuwa ni ule utaratibu wa kuonyesha muda gani ulikuwa…

Vitabu 9 Ambavyo Bill Gates Anaamini Kila Mtu Inabidi Avisome

Ingawa kila dakika ya Bill Gates ina mahesabu, huyu jamaa bado ameweza kuwa anasoma kitabu kimoja kila wiki Vitabu vingi asomavyo huwa ni vya kubadilisha mifumo: jinsi…

Mwanzilishi wa mtandao wa Pirate Bay afungwa miaka 3 na nusu jela

Mwanzilishi wa mtandao wa Pirate Bay afungwa miaka 3 na nusu jela

Mwanzilishi mwenza wa mtandao wa kudownload movie, muziki, software na vitu vingine, Pirate Bay, Gottfrid Warg, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na nusu jela kwa…

Internet.org app ya Facebook yatua Bongo

Internet.org app ya Facebook yatua Bongo

Facebook imetangaza kuwa app yake ya Internet.org , iliyozinduliwa mara ya kwanza nchini Zambia, sasa inapatikana kwa wateja wa Tigo nchini. Mwanzilishi wa Facebook, Mark…

CEO wa Apple Akiri Kuwa Ni Shoga

  Tim Cook, Chief Executive Office wa kampuni yenye thamani zaidi duniani ya Apple, leo hii amekiri kwa umma kwamba yeye ni shoga. “I’m proud…